22 October 2008

5 TOKA KWA SUNBIZO JUNIOR

AMINIA DOGO KWA MBILINGE ZA KIMAISHA............................................

MOSCOW NEVER SLEEP


KULA 5 TOKA URUSI WABABE WA GEOGIA.TUMEZIPATA DA REHEMA NAWE WAPE ZE DOLEZZZZZZZZZ WOTE HUKO.SOTE WAMOJA

ZE DOLEZZZZZ









WADAU WA KWA SUNBIZO WAKIKUPA ZE VIDOLEZZZZZZZZZZZZZZ

RAI;MWAONAJE HIYO IKAWA STYLE YETU ATSA?

LIVE NA MDOGO WAKE ZIDANE








MAISHA HAPA KIWANJA MATAMU KWELI WATU HAWALINGI LINGI OVYO KAMA KULEEEEEEEEE.CHEKI HIYO NIPO NA MSHAKJI WANGU HUSSAIN ZIDANE.JAPOKUWA FRERE (BRO) AKE ANAHUSUDIWA DUNIANI KOTE ILA YA SIMPLE TU.SI MNAONA WENYEWE?


SALAM TOKA KWA MUDY CRAIG

MDAU MUD CRAIG WA HIDRA ANAKUPENI 5 BAADA YA KUREJEA TOKA LIKIZO MASKANI TZ.AHSANTE KAKA MUD KWA KUNITIA MOYO.MUNGU AKUZIDISHIE INSHALLAH

VIPI BLIDA WINTER HAIJAJIBU TUJE?

































WABONGO HAPA KIWANJA KAWAIDA YETU KUJIPUMZISHA MIBARAFUNI BAADA YA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA SHULE.......................KAMA VIPI USIKOSE KUJUMUIKA NASI MWAKA HUU WINTER LITAKAPO JIBU.............WAANDAJI NADHANI HAMTO TUANGUSHA.



MIJIUFUNDI YA WADAU AL-MANARA (BUJI)









MANBO YA SARAKASI BAHARINI....................................................ATSA VIPAJI VIPO VINGI SEMA HUTUWEKEWI MAZINGIRA MBADALA YA KUVIONYESHA VIPAJI VYETU.





VIKOS 2



KIKOSI KONGWE JUU NA KIKOSI CHA KIZAZI KIPYA HAPA KIWANJA

VIKOSI VYA HAPA KIWANJA


KIKOSI KIPYA JUU NA CHINI NI KIKOSI KONGWE

ALGER BY NIGHT


KIWANJA ALGER KIONEKANAVYO USIKU...............................................

21 October 2008

MASELA MNAOA LINI????????????????????


KWELI DUNIA HII HAKUNA MGUMU.....HUYU JAMAA ANAITWA Y-DASH TOKA KUNDI LA TMK WANAUME......KAJIFANYA MGUMU ILE MBAYA ILA MWISHO KANASA KWA TOTO LA KIARABU.SASA SWALI KWENU NYINYI WAGUMU WA HAPA.JE NYINYI MNAOA LINI?

LIVE NA COMMANDO TEMI


NIMEKUTANA NA COMMANDO TEMI MITAA FLAN FLAN...........................2KAAMUA KUCHUKUA NEPU LA KUMBUKUMBU.SHUKRAN KAKA MUNGU AKUJAALIE

CHEKI HILO BONGE LA KAMBA

http://www.apanews.net/apa.php?page=show_article_eng&id_article=78192
WADAU CLICK HIYO LINK HAPO JUU UJISOMEE KAMBA KUHUSU MADENT WA KIBONGO ALGERIE

KULA 5 TOKA KWA SELA


20 October 2008

ZE KATUNIZ YA LEO

mke mtiifu
There was a man who had worked all his life, had saved all ofhis money, and was a real "miser" when it came to his money.
Just before he died, he said to his wife..."When I die, I want you to take all my money and put it in the casket with me. I want to take my money to the after life with me."
And so he got his wife to promise him, with all of her heart,that when he died, she would put all of the money into the casket withhim.
Well, he died. He was stretched out in the casket, his wife wassitting there - dressed in black, and her friend was sitting next to her.
When they finished the ceremony, and just before the undertakersgot ready to close the casket, the wife said,"Wait just a moment!"
She had a small metal box with her; she came over with the boxand put it in the casket. Then the undertakers locked the casket downand they rolled it away.
So her friend said,"Girl, I know you were not fool enough to put all that money inthere with your husband."
The loyal wife replied, "Listen, I'm a Christian; I cannot go back on my word. I promised him that I was going to put that money intothe casket with him.
"You mean to tell me you put that money in the casket with him!?!?!?"
"I sure did," said the wife. "I got it all together, put it into my account, and wrote him a check.... If he can cash it, then he can spend it."
Send this to every clever female you know, and to every man who thinks they are smarter than women!!!
Duuuuuuuuuuuuuu is wanawake sio wajanja kweli?

By sunbizo.
buji.

ZE KATUNIZ

HER...!!"Bibi eeh? Bibiyee..? 'Nashikwa na n'kojo mwiziooo...!!"
His wife said.... "Salaalah! Si wende kwani mpaka unian'sheee, kwani ushakuwa ntoto n'dogo weyeee..???"
KISHTOBE said "Haya Bin'dogoo, nilikuwa nakutaarifu tuu...!!"
Few minutes later, KISHTOBE came back and said...!!"Nke wanguu...! Nataka nikuambie maneno ya ajabuuu, yan'tokea chooni!!"
Now she is angry for being woken up for the second time, She said....."Salaalah...! Mwanamme kama hilo tembo huliwezi, si uliwache!! Haya,kitu gani tena cha ajabu ambacho hujaniambia wataka nambia tena...?"
KISHTOBE: "Nilipokwenda chooni, nlipofungua n'lango, taa ikawaka na nlipofunga n'lango taa izimika yenyewe....!! wallahi si maajabu tena hayo n'ke wanguuu...!?!"
His wife sat up and said..."Ebo!, Nlaanifu wee... tena shetwani nkubwa... kabisa weyee, n'jukuu waIbilisi, n'shenzi nkubwa!!!!! Ushakojoa tena ndani ya firiji...!!!!!!"

By sunbizo,
Buji.

JACK BAWERS WA KIBONGO

KINA JACK BAWER WA KIBONGO WALIPOKUWA WAKIONYESHA UNDAVA COMORO
EBANA INABIDI HAWA MASELA WA KIKOMORO HAPA KIWANJA WATUHESHIMU,TUMEWAOKOA ILE MBAYA

DANS LA CHINE

WAPIGANAJI WA GRANDE CHINE WANAKUPENI HI.WANADAI HUKO KIWINTER KISHAITIKA.....................SHUKRAN WADAU TONY NA PETER

NYEPE NYEPE

SIKIA HII HUTOAMINI MACHO YAKO,HUYO JAMAA HAPO JUU ANACHEZA PRISON BREAK,SASA KALI NI KWANBA MSHIKAJI MAZA AKE MBONGO ORIGINAL AFU MZIMA KINOMA KWENYE KISWAZ..............................VIVE BONGO

19 October 2008

DUUU HUYU BIBI......................

The History of the Middle FingerWell, now......here' s something I never knew before, and now that I know it, I feel compelled to send it on to my more intelligent friends in the hope that they, too, will feel edified. Isn't history more fun when you know something about it?
Before the Battle of Agincourt in 1415, the French, anticipating victory over the English, proposed to cut off the middle finger of all captured English soldiers. Without the middle finger it would be impossible to draw the renowned English longbow and therefore they would be incapable of fighting in the future. This famous English longbow was made of the native English Yew tree, and the act of drawing the longbow was known as "plucking the yew" (or "pluck yew").
Much to the bewilderment of the French, the English won a major upset and began mocking the French by waving their middle fingers at the defeated French, saying, See, we can still pluck yew! Since 'pluck yew' is rather difficult to say, the difficult consonant cluster at the beginning has gradually changed to a labiodentals fricative F', and thus the words often used in conjunction with the one-finger-salute! It is also because of the pheasant feathers on the arrows used with the longbow that the symbolic gesture is known as "giving the bird."
IT IS STILL AN APPROPRIATE SALUTE TO THE FRENCH TODAY!And yew thought yew knew every plucking thing.