06 December 2008

IDD MUBARAK......................................

SALAM ALAYKUM MAKOMANDO NA
MAKOMANDEZI WA BLOG HII,NATANGULIZA
SHUKRANI KWA MANANI KWA KUTUWEZESHA
KUWA HAI LEO.PILI KWENU WADAU MNAONITIA
MOYO WA KUENDELEA KUBLOG.........MWISHO
BLOG YENU MUIPENDAYO INAKUTAKIENI LA IDD
NJEMA...........

BY SUNBIZO
BUJI.

1 comment:

Anonymous said...

bye from italy