12 September 2011

MDAU AKITALII KIPINDI HICHI CHA SUMMER TIME...........NI FRONT HUKO MZEIYA

                              Mdau akiwa ndani ya pipa ni moja ya safari zake za kitaliii
                                      Apokelewa na usafiri mmoja matata sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
                                akiwa katika hotel aliyofikia basi hakusika kujiegesha kwenye ma swimming pool kama haya
                          Akila mitaa pande za ufukweni
                                   Mida ya usiku ilikuwa kama kawaida yake ya kutinga viwanja

17 August 2011

KWA UKARIBU KABISA.HIZI NDO APPARTMENT ZILIZO KAMILIKA

Kwa wale wanaotaka omba nyumba hizo basi waandike barua za maombi kwa mkurugenzi mtendaji wa shirika la nyumba la taifa appartment zinapaikana nyingi tu mkoani dodoma

WAKITOKA KWENYE UKAGUZI WA HIZO NYUMBA

From left ni mkurugenzi mtendaji wa Shirika la nyumba la taifa, waziri wa ardhia na makazi na watatu ni waziri mkuu mr pinda

MR PINDA ALONG SIDE WITH WAZIRI WA ARDHI NA MAKAZI WAKIKATA UTEPE WA APPARTMENT MPYA ZA SERIKALI MKOANI DODOMA


MAKAMU WA RAHISI AMALIZA UZINDUZI WA NYUMBA ZA POLISI

Hizo nyumba zinazooneka ahapo nyumba ni nyumba mpya za polisi zipo bara bara ya kilwa ..ni Ghorofa 30 kwa ajiri ya polisi

wowwwwwwwwwww....hiyo ndo fahari ya bongo.full wanyama .wonder why we suffer from umasikini


TULENI MATUNDA WADAU

Fruits ni muhimu sana kwa afya zetu.we better remember that human body cant fabricate some vitamins like vitamic C...the only source this vitamin is fruits..........We may use some medicine like MEGANYL which contains almost all kind of vitamis which often used for the people who .relived from some malade or coma.....

11 August 2011

YOU BRITONS!!!!!!!!!!!!!!!!!!! YOU CLAIMS TO BE GAINSTER WHILE .......................;;;;;.LEAVE ZIMBWABWE


MDAU AKILA MITAAA KONA ZA USWAZI........

Bongo tunahitaji maendeleo zaidi maana hii hali haistaili kuwa capitali bwana...mhhhhhhhh too much but we dont have a choice

WADAU MNAONAJE HAPOOOOOOOOOOOOO..........VITU NATURAL COLOUR

Kwa hakika madada zetu wa kiafrica wananoga zaidi wanapopiga mavazi yetu ya asilia........vipodozi kidogoo uzuri ni nomaaaaaaa

10 August 2011

HATA BONGO KUMBE HAYA MAMBO YAPO BANA..........LOL

Nadhani baadhi ya ndugu zangu wananisoma kisukari sukari ninaposema kumbe haya mambo hata bongo yapo maana wao huwa yana wakumba sana kwenye nchi kadhaa kadhaaaaaaaa.sitaki kutaja jina

SALAMU TOKA BUKIVI KWA SHAMSU


JOKE OF THE DAY

Utajivunia kuwa mu- Kenya

1. Umoja ni estate, utengano ni setbook

2.Mbio za marathon huishia kwa balcony

3.Cha mlevi huliwa na mututho

4.Mwenye macho hanywi chang’aa

5.Asiyekubali kushindwa atakuwa PRIME MINISTER

6.Cha mututho mwanfuu hu, na akinywa ha…

7.  Cha mlevi huliwa na MAKARAO

8. Ukistaajabu ya musa, hujaskia ya ONYANCHA

9. Mpiga ngumi ukuta ni SONKO

10.Usipo ziba ufa watu watakuchungulia

11. Mwenye nyege haambiwi tazama

12.Mgema akisifiwa mututho huingilia kati

13.Kidole kimoja ni jina ya church ya HELLON

14.Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na google


15.Mtoto akililia wembe amechoka kuwa KIPII

09 August 2011

Kwa ukaribi kabisa kwa wale wasiomjua

Unayemuona pichani ni Nelly Kamwelu,Miss Universe Tanzania 2011.Nelly ndiye atakayebeba bendera yetu akituwakilisha katika mashindano ya dunia ya Miss Universe ambayo kwa mwaka huu yatafanyikia huko Sao Paulo,Brazil ndani ya Credicard Hall kunako tarehe 12 September,2011.Tunamtakia kila la kheri Nelly katika maandalizi yake.Picha zimepigwa na Mdau kikwembo mlekwa

Kila la Kheri Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu


NAIROBI CITY KUMEKUCHA................FLYING OVER HIZOOOOOOOOO ZAJA


08 August 2011

ANNOUNCEMENT

    from
           ally shafi, bejaia
 we would like to let you knows that only Tanzanians are allowed to buy macbook on credit through us....the rest of nationalities have to buy in cash.....for more informations call 00213556296849 or 00213561293283
                                                            thank you for your attention
       

BEI YA VYAKULA ZENJI NI NOMAAAAAAAAAAAAA...............HUO UDIZI MMOJA UNAUZWA Tsh 4000


Wajasiliamali nao hawapo nyuma kwenye biashara...............

MZEIYA NIPO MZIGONI.....................................UJANJA MWINGIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII


NAINGIA KWENYE KAGARI KA KUAZIMA ILI NIPATE ENDA KIBARUANI.............SUMMER TIME



SOME TIME INATUBIDI TUVAE HIVI TUNAPOPATA VIAJIRA VYA MUDA


07 August 2011

PICK ONE BY CASH OR ON CREDIT

 Price........from 1250 euro call 00213561293283..............Ram 4 .....HDD...320
price...from 850 euro.................Ram 2 to 3GB...........HDD 250 to 320

CHECK THE MACBOOK AIR BELOW....CALL 00213561293283 FOR MORE MAELEZO


THE MACBOOK AIR NOW ARE AVAILABLE ....PRICE..FROM 750 EURO..REMEMBER YOU MAY GET THEM BY EIIHER CASH OR ON CREDIT.....CALL  00213561293283 FOR MORE INFOR

WALAHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HIYO SIKU HAIKUWA SHUGHURI NYEPESI......CAMERA ZETU ZILINYAKUA PICS KAZAAAAAAAAAAA KWA KISUKUMA

 muda kadhaa kabla ya waheshimiwa kuingia kwenye kampeni...........from left....muheshimiwa kimati, profesor khamisi kidago, ahmedi, beatrice.........
 muheshimiwa kimati ( General secretary akimwaga sera(
wanachama wakisikiliza kwa makini....................sera za wagombea

DOGO ABUTULIA MACHO KIKWEMBO A.K.A KIKWETE ALIPOKUWA ANAPAKULIWA FUTAZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!

25 July 2011

HUYU NDIE RAHISI ALIYEJIHUZURU KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU WA FEDHA,,,,ALIPOJUHUZURU RUHOMBO AKASHIKA ATAMU

Rahisi aliye jihuduru kwa tuhuma za wizi wa pesa ,,,kwa jina bwana Seif pepo..................lol, kwa wasiyejua profiteeee hapo...........................................

FORMER PRESIDENT OF ATSA

Huyu ndo raisi pekee alietumikia viti viwili (uraisi na umakamu) kwa kipindi kimoja........ remember ,,,alikabidhiwa urahisi baada ya rahisi wa kipindi hicho kuhusishwa na kashfa ya money laundering

GET IT NOW............Mac book pro 2008

LAPTOPS FOR SELL, YOU CAN GET THEM EVEN ON CREDIT....CALL 00213561293283 FOR MORE INFORMATIONS

Kuna mdau kaniomba nimuekee picha ya marehe felix.... huyu ndo marehemu felix mungu aiweke roho yake mahali pema peponi,,,,amin

marehemu felix akilikata gutaa enzi za uhai wake kabla hajajitia kitanzi

24 July 2011

natoka sasa baada kazi ya kotoa somo kwisha.....ila lazima niprofitee na vioo vya bure kudadakiiiiiiiiiiiiiiiii

Asikilizwa kwa makini wakati somo laendelea.......kaka mkubwa nae akiwepo

MDAU ALIPOFUMWA NA CAMERA ZETU(camera cache)

mdau akutwa akitoa somo..................otea nani huyo????????????????????????????

IPAD 2 FOR SALE, CONTACT US IF YOUR INTERESTED, ITS A BRAND NEW

Its  ipad 2.... 4G , with 64GB........ going for 850 euros , call wema-00213561293283 ,kikwembo- 00213810904 or shafi- for more informations

Bidhaa mpya ipo sokoni

mac book pro, i 7, GB 1000, ram GB8  pour plus les information contactez 00213561293283

03 May 2011

OBAMA WATCHED BIN LADEN DIE ON LIVE VIDEO AS SHOOT-OUT BEAMED TO WHITE HOUSE…!!!


Obama watched assault on compound housing bin Laden in real time

*Compound was yards from Pakistan’s ‘Sandhurst’ military academy

*DNA tests 99.9 per cent certain man killed WAS Bin Laden

*U.S. embassies on alert over Al Qaeda reprisal attacks

*Obama and George W. Bush both declare: ‘Justice has been done’

President Obama was watching on a TV screen as a commando gunned down Osama Bin Laden. Via a video camera fixed to the helmet of a U.S. Navy Seal, the leader of the free world saw the terror chief shot in the left eye.

The Seal then carried out what is known in the military as a ‘double tap’ – shooting him again, probably in the chest, to make certain he was dead. The footage of the battle in Bin Laden’s Pakistani hideout – relayed to the White House by satellite – is said to show one of his wives acting as a human shield to protect him as he blasted away with an AK47 assault rifle.

She died, along with three other men, including one of Bin Laden’s sons. Within hours, the Al Qaeda leader’s body was buried at sea.

by wema