10 August 2011

JOKE OF THE DAY

Utajivunia kuwa mu- Kenya

1. Umoja ni estate, utengano ni setbook

2.Mbio za marathon huishia kwa balcony

3.Cha mlevi huliwa na mututho

4.Mwenye macho hanywi chang’aa

5.Asiyekubali kushindwa atakuwa PRIME MINISTER

6.Cha mututho mwanfuu hu, na akinywa ha…

7.  Cha mlevi huliwa na MAKARAO

8. Ukistaajabu ya musa, hujaskia ya ONYANCHA

9. Mpiga ngumi ukuta ni SONKO

10.Usipo ziba ufa watu watakuchungulia

11. Mwenye nyege haambiwi tazama

12.Mgema akisifiwa mututho huingilia kati

13.Kidole kimoja ni jina ya church ya HELLON

14.Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na google


15.Mtoto akililia wembe amechoka kuwa KIPII

No comments: