25 July 2011

Kuna mdau kaniomba nimuekee picha ya marehe felix.... huyu ndo marehemu felix mungu aiweke roho yake mahali pema peponi,,,,amin

marehemu felix akilikata gutaa enzi za uhai wake kabla hajajitia kitanzi

No comments: