16 October 2008

IMETOKA ATSA BABA

Habari gani !!!!
Bila shaka mnaendelea vizuri.
Tarehe 16 siku ya Alhamisi majira ya saa 6.30 mchana tunatarajia kuwapokea wanafunzi wapya 22 watakao wasili na ndege ya Qatar Airways.Wanafunzi hao watakuwa ni Groupe la kwanza kufika na lingine litawasili baada ya siku kadhaa kutegemea na booking watakayofanyiwa na Wizara na Uongozi kutaharifiwa.
Tunamwomba kila mmoja wetu kufika na kuwapokea wanafunzi wenzetu kama ilivyo desturi yetu watanzania ya miaka yote.Kwa kufanya hivyo kutawapa hamasa kubwa nafaragha kupata wenyeji wakuwapokea hasa ikizingatiwa kuwa wamefika ughaibuni na kuacha familia zao mbali.

Asanteni na tunawatakia kila la kheri kufanikisha zoezi zima la kuwapokea Ndugu zetu.
UONGOZI-ATSA

No comments: