WABONGO HAPA KIWANJA KAWAIDA YETU KUJIPUMZISHA MIBARAFUNI BAADA YA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA SHULE.......................KAMA VIPI USIKOSE KUJUMUIKA NASI MWAKA HUU WINTER LITAKAPO JIBU.............WAANDAJI NADHANI HAMTO TUANGUSHA.
SALAM ALYKUMMAKOMANDOO NA MAKOMANDEZI WA MTANDAO HUU WA JAMII. IFAHAMIKE KWAMBA MTANDAO HUU UMEANZISHWA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA KIMATAIFA UKIWA NA LENGO YA KUJENGA NA SI KUBOMOA.SIPO HAPA KWA AJILI YA KUMKWAZA MTU NA CHONDE CHONDE UKIJISIKIA KUKWAZWA NA LOLOTE NDANI HUMU BASI USISITE KUWASILIANA NAMI MOJA KWA MOJA.USHAURI WAKO NI MUHIMU SANA KWANGU. MERCI ET J'ESPERE CA VA ALLER.
No comments:
Post a Comment