26 October 2008

WASHAFIKA............................





EBANA MASELA WAPYA NDO HAO WASHATIA MAGUU NDANI YA KIWANJA....
KARIBUNI SANA JISIKIENI MPO NYUMBANI.NA SHUKRAN ZA THATI KWA
WOTE MLOJITOKEZA KUWAPOKEA NA KUWASINDIKIZA MPAKA MAKWAO
MUNGU AKUZIDISHIENI;AMINNNN





1 comment:

Anonymous said...

EBANA WANAJESHI MBONA WENGI KULIKO KINADADA?INAONESHA NI JINSI GANI TANZANIA KULIVYOKUWA HAKUNA USAWA WA KIJINSIA KTK MASUALA MUHIMU KAMA ELIMU.NCHI HAIJENGWI NA WANAUME PEKE YAO.KWA PAMOJA TWAWEZA KUJENGA TAIFA IMARA NA LENYE MAENDELEO.TUSIENDELEE NA HUU MFUMO DUME AMBAO UMETU-COST SANA KIMAENDELEO KAMA TUNAVYOONA HIVI SASA.ANYWAY PENGINE KINADADA HAWAIPENDI ALGERIA AU WANAOGOPA HII LIFE YA HATARI YA KUTOKEA NA MILIPUKO MARA KWA MARA