20 October 2008

ZE KATUNIZ

HER...!!"Bibi eeh? Bibiyee..? 'Nashikwa na n'kojo mwiziooo...!!"
His wife said.... "Salaalah! Si wende kwani mpaka unian'sheee, kwani ushakuwa ntoto n'dogo weyeee..???"
KISHTOBE said "Haya Bin'dogoo, nilikuwa nakutaarifu tuu...!!"
Few minutes later, KISHTOBE came back and said...!!"Nke wanguu...! Nataka nikuambie maneno ya ajabuuu, yan'tokea chooni!!"
Now she is angry for being woken up for the second time, She said....."Salaalah...! Mwanamme kama hilo tembo huliwezi, si uliwache!! Haya,kitu gani tena cha ajabu ambacho hujaniambia wataka nambia tena...?"
KISHTOBE: "Nilipokwenda chooni, nlipofungua n'lango, taa ikawaka na nlipofunga n'lango taa izimika yenyewe....!! wallahi si maajabu tena hayo n'ke wanguuu...!?!"
His wife sat up and said..."Ebo!, Nlaanifu wee... tena shetwani nkubwa... kabisa weyee, n'jukuu waIbilisi, n'shenzi nkubwa!!!!! Ushakojoa tena ndani ya firiji...!!!!!!"

By sunbizo,
Buji.

No comments: