22 October 2008

VIKOS 2



KIKOSI KONGWE JUU NA KIKOSI CHA KIZAZI KIPYA HAPA KIWANJA

2 comments:

Anonymous said...

EBANA HIKI KIKOSI AMANAIA WAZEE YAANI KILIKUWA SIO MCHEZO ENZI ZAKE KABLA YA KUANZA SOKA LA KUUZA SURA KULE SITIMBI,AU MNASEMAJE WADAU WENZANGU?TULIKUWA TUNATISHA SO MCHEZO.KILA TIMU TULIYOKUTANA NAYO ILIKUWA NI KIPIGO TU KUDADADEEEEEEEKI.TIMU ZOTE ZILIKUWA ZINAGOMBEA KUCHEZA NASI.ZIKAWA ZINAAMBULIA VIPIGO MFULULIZO BILA HURUMA.HIYO NI KABLA MASELA WETU AMPHIBIA NA SHIRIKI HAWAJAONDOKA KURUDI HOME KUJENGA TAIFA.WASHINGILIAJI WA KUTEGEMEWA WALIKUWA WADAU MANYWELE NA MZEE WA BLONYE.WATU WALIKUWA WANAACHA KAZI ZAO NA KWENDA KUISHANGILIA TIMU ENZI HIZO KWANI KILA MTU ALIKUWA NA UHAKIKA WA TIMU KUSHINDA.UWANJA ULIKUWA UNAFURIKA KILA MECHI.ANYWAY TUNAWEZA TUKABADILIKA NA KURUDIA ENZI ZETU AU ZAIDI KAMA TUTAKUWA SERIOUS NA KUACHA SOKA LA KUUZA SURA.UWEZO TUNAO NA SABABU TUNAYO.MUNGU IBARIKI TZ NA MWENYE BLOG HII.UNACHEKAAAAAA!!!!!????

KWA WEMA said...

SHUKRAN MDAU KWA ROHO YAKO NTHURIIIIIIIIII MUNGU AKUZIDISHIE